Features Tunzaa
Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipango yako.BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU.Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma wetu na pia tunazingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu.FUATILIA MALIPO YAKOTunzaa inakupa uwezo wa kufuatilia kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama vile kununua vifaa vya nyumbani, vifaa vya umeme & mtindo na mavazi au safari.JIPIMIEKuwa huru kujipangia muda wa kukamilisha malipo na Tunzaa.TAFUTAUrahisi wa kutafuta bidhaa yoyote kwa haraka.UJUMBEPokea ujumbe wa kukumbusha kutunza pesa mara kwa mara.MALENGOTimiza malengo yako kwa kufanya malipo kwa usalama zaidi.MATUMIZIEpuka matumizi mabaya kwa kuzuia kutoa pesa hadi lengo litimie.ZAWADIWanunulie zawadi wapendwa wako kupitia Tunzaa.
Secure & Private
Your data is protected with industry-leading security protocols.
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Personalization
Customize the app to match your preferences and workflow.
See the Tunzaa in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above